Sunday, September 29, 2013

Kundi la wafanyakazi wa Banana Investments, wanachama wa Banana sport club, walipotembelea mbuga ya SAADAN. Hapa wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mbuyu ambapo wajerumani waliutumia kuwanyoga mababu zetu wakati wa ukoloni

No comments:

Post a Comment