Hapa bidhaa za Raha, Raha poa, na Fiesta dry gin zinazozalishwa na kampuni bora ya banana investments. Hata afande alivutiwa na bidhaa hizo.
Wafanyakazi wa kampuni ya banana investments wakati wa maandamano wakiwa wanapendeza na nyuso za furaha.
Huu ni ujumbe wa mei mosi 2013, ukisisitiza usawa na haki kwa wafanyakazi wa tabaka zote
Hapa maandamano yakiwa yanaanza, kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha kuelekea uwanja wa Sheihk Amri Abeid, zilikofanyika sherehe.
Maandamano ya magari, hapa magari ya banana investments yakiwa yanapendeza tayari kwa maandamano
Burudani ilikuwa ni sehemu ya maadhimisho haya. Hapa wacheza show, pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa banana investments wakiburudisha watazamaji.
Magari yakiwa kwenye maandamano
Kulikuwa pia na maandamano ya pikipiki, hapa wafanyakazi wa banana investments wakiwa na furaha, wakionyesha ujuzi wa kuendesha pikipiki.
Mmoja wa wafanyakazi wa banana investments akionyesha bidhaa za kampuni, akiwa amependeza kuonyesha furaha ya kushiriki mei mosi.
Meneja masoko wa banana investments bwana. David Mulokozi, akionyesha ngao ya mshindi wa tatu ambayo kampuni ilishinda kwenye sherehe za mei mosi 2013
Wafanyakazi wa banana investments wakipata chakula walichoandaliwa na kampuni, kuwapongeza baada ya maadhimisho ya mei mosi 2013
Hapa wafanyakazi wakicheza muziki wakati wa sherehe kabambe baada ya maadhimisho ya mei mosi 2013. Hapa ni kwenye viwanja wa bustani ya kampuni.
Mkurugenzi wa banana investments akiwahutubia wafanyakazi wakati wa sherehe baada ya maadhimisho ya mei mosi. Aliwashukuru wafanyakazi kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuiletea kampuni mafanikio.
No comments:
Post a Comment